Nimefiwa na baba yangu mkubwa

Pole sana kwa msiba, Mungu awape nguvu ya kulikabili hili.
RIP baba mkubwa
 
"INNALILLAH WAINAILLAH RAJIUN" polen sana mkuu ila tuzidi kumshukuru mungu kwani hafanyi jambo isipokuwa anamakusudi yake. Apumzike kwa amani mzee wetu...
 
Sisi ni wake Mungu na marejeo ni kwake.
Pole na msiba.
 
pole mkuu. Tatizo litabaki kufichaficha majina yetu halisi hata kwenye taarifa kama hizi!
 
Pole sana Mungu awape Faraja yake na kuwavuha salama ktk kipindi hiki cha msiba
 
mwenyezi mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon.AMEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…