Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

May God give you a courage in this difficult situation.
 
Pole sana X-Paster. RIP baba wa X-Paster.
 
Pole sana X-Paster mwenyezi mungu awatie nguvu na ujasili katika kipindi hiki kigumu,,
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi -Amen
 
Pole sana X Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, may he Rest in Peace!
 
Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana mkuu, tuko pamoja katika sala kipindi hichi cha majonzi
 
Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu...
Tunaiombea Roho ya Marehemi ilale mahali pema peponi
 
Pole sana X-Paster pamoja na familia yote. Mungu wape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Amina.
 
Pole sana mkuu na jipe moyo mkuu ili uweze pia kuwatuliza ndugu wengine!
 
pole sana mkuu
Mungu akufariji ktk kipindi hiki kigumu
 
mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen
 
Ni vigumu kupata maneno ya kukuliwaza hasa kipindi hiki kigumu. Amini kuwa hata sisi tulio mbali na Dar tuko pamoja nawe.
Mungu awapenguvu ya kuvumilia Msiba huu mzito. Pole sana ndugu yangu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe. Amen
 
Pole sana Mkuu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahali pema peponi.
 

Pole sana rafiki! Jikaze ndo ukubwa huo hasa kipindi hiki cha majonzi! Tupo Pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…