Nimefiwa na ex boyfriend wangu, tarehe 20 November

Hivi wewe utakuwa nani?.
Mbona kama na kufahamu na mtu aliyekufa ilikuwa mwaka huu miezi ya nyuma sema hukupata taarifa
 
Dosari yako ilikuwa ni kumsubiri yeye tu ndiye akuombe msamaha na akurudie badala ya wewe kufanya hivyo "mrudiane kupendana".Too late.Pole sana ex-"gerofurendi"!It really hurts!
 
Pole sana kwa kumpoteza ex boyfriend wako. Kama utahitaji kampani ya kukupeleka kwenda kuliona kaburi lake, hata kama ni Somalia au Sudan Kusini; basi mimi nipo tayari kujitolea kwa ghsrama zangu.
 
Pole sana kwa kumpoteza ex boyfriend wako. Kama utahitaji kampani ya kukupeleka kwenda kuliona kaburi lake, hata kama ni Somalia au Sudan Kusini; basi mimi nipo tayari kujitolea kwa ghsrama zangu.
Upendo wako upo juu sana.Mimi nitajitolea drone iwe inachukua picha mjongeo kwa kila eneo mtakalopita au kuingia ili kuwalindeni na mahasidi.Aaaamin!🫸🫷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…