Nimefiwa na ex boyfriend wangu, tarehe 20 November

Mshahara wa kukataa, ni mauti. Kavuna alichopanda mpendwa. Nicheki PM nikupe rambi rambi
 
Pole sana,huo ndio mwisho wa kila kiumbe chenye uhai,

Funzo,unapokua na jambo unataka kumueleza mtu yeyote,chukua hatua muda huo huo usisubiri kesho coz hujui amebakiza muda gani kwenye uhai wake,

Tuishi kwa amani na kumkumbuka muumba,
Life is very short.
 
Hata angechukua hatua maema angeluja kuumia TU tena huenda zaidi kuliko alivoumia sasa huenda angeluwa mumewe
 
Ajaliwe kipumzika kwa amani, pole nyingi kwako .
Unaweza usieleweke vizuri mada yako hii na uma wa jamii forums lakini mimi binafsi nimehisi maumivu yako .
Pole tena , pumziko jema kwake.
 
Ajaliwe kipumzika kwa amani, pole nyingi kwako .
Unaweza usieleweke vizuri mada yako hii na uma wa jamii forums lakini mimi binafsi nimehisi maumivu yako .
Pole tena , pumziko jema kwake.
Hata mimi nimemuelewa vizuri sana,mtu ambaye unamfahamu au ulimfahamu au una emotion connection nae,ukisikia amefariki,hua kuna mshtuko fulani na huzuni hivi inakutawala,ni nature ya Binadamu japo wapo wenye roho ngumu,

Mara nyingi huzuni ya aina hii hutawaliwa na fikra nyingi baada ya kusikia habari ya msiba wa jamaa unayemfahamu,
  1. Emotion connection kati yako na Marehemu,
  2. Ukumbusho kwamba kifo kipo na wewe ipo siku yako.
 
Siku ukifiwa na mzazi utafuta hii kauli kwamba hata ukifiwa na mtu mwingine utaona kawaida
Hautashtuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…