Sema mwanaume akijua unamzimikia hakuna rangi unaacha ona🤔🤔😏...afu wote wako hivyoNimewahi kuwapoteza watu wengi katika maisha yangu,
Nimefiwq na ndugu zangu niliowahi kuwapenda sana.nimeqapoteza watu muhimu kwenye maisha yangu.
Ila kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimeumizwa na hiki kifo cha ex boyfriend wangu ambaye niliwahi kumpenda sana,
Mahusiano yetu yalianza mwanzoni mwa mwaka 2018 na kuisha mwaka 2020 mwishoni.
Nilimpenda na anajua ila sijui kwanini aliamua kunipoteza kwenye maisha yake.
Alipata wanawake wengine huko na akaendelea na maisha yake
Miaka 5 imepita toka mapenzi yetu yaishe
Mwaka huu november nilipewq taarifa za kifo chake
Ukweli ninapata maumivu sana,
Kutokana kifo chake najikuta siogopi tena chochote
Hata nikisikia mtu mwingine kafa naona ni kawaida habari hainishtui
Nataman ningepata nafasi ya kumuona mara ya mwisho na kumweleza kama mimi bado ninampenda sana hata kama hakunihitaji tena kwenye maisha yake.......
Niliwahi kumweleza mara nyingi kuwa nampenda baada ya kuachana kwetu
Ila nilikata tamaa nilipoambiwa tayari amepata mtoto na mwanamke mwingine ambaye alikua naye had mauti yana mkuta.
upumzike kwa amani mwanaume niliyewahi kukupenda sana.
Mungu akupe rehema na roho yako ipumzike mahali pema.
Hahahahhahaa🤣🤣🤣🤣😁😁😁 asee nimecheka kingeseSana. Sasa imagine unaweka mwanamke kama huyu ndani anakuigizia upendo unadhani anakupenda kweli kumbe muda wote anawaza ex wake ambaye ni maiti.
Hapana babe😆Usiku unaniita baby mchana unaniita bro sio🚮
Ndo aje hivo🤔Jamaa inaonekana alikua anaitendea haki vibaya sana
Kaka min me, acha tu nilimpenda mzenji mmoja ila kilicho nishangaza ni ukaribu wake na washikaji wengine, mara wapigiane simu mara sijui nini Yani kero tupu nikajisemea Cha kufia nini, beba moyo wangu ndukiiiWale vijana Wanao taka Kuoa mabikira Ina wezekana Wana hoja ya msingi sana🤔
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Kuna Jambo HapoUkiachwa achika, watu wengine ni ving'ang'anizi,sa wewe apo ung'ang'ania hadi maiti jamani? Mpumzishe mwenzio!
Pole kijana😅Kaka min me, acha tu nilimpenda mzenji mmoja ila kilicho nishangaza ni ukaribu wake na washikaji wengine, mara wapigiane simu mara sijui nini Yani kero tupu nikajisemea Cha kufia nini, beba moyo wangu ndukiii
Unawaza ujinga tu Mangi wewe😄Jamaa inaonekana alikua anaitendea haki vibaya sana
Tule pombe mamaUnawaza ujinga tu Mangi wewe😄
Mi nakunywa juice colaTule pombe mama
Min me za kazi babaWale vijana Wanao taka Kuoa mabikira Ina wezekana Wana hoja ya msingi sana🤔
Hivi neno “kufiwa” maana yake nini hasa?pumzika kwa amani
NISHA POA MKUU,NA ASANTE MABIKRA WAHESHIMIWEPole kijana😅