Nimefiwa na Mama Mzazi

Inna Lillah Wainna Ilayhi Raaajiun....pole sana mkuu Mmungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu
 
Pole mkuu!MUNGU Akupe faraja ya moyo ktk wakati huu mgumu unaopitia sasa!
 
Pole sana Mchungaji
Tunawaombea Kwa Mungu Faraja yake maana Yeye ndie mfariji
Na zaidi sana awongoze ktk kipindi hiki kigumu ili muweze kufanikisha yote kwa Hekima Yake

POLENI SANA WAFIWA WOTE
 
إن لله وإن إليه راجعون Pole mkuu, kwa msiba. M/Mungu awapunguzie machungu na awavike ujasiri ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi hakika alicho kichukua Allah ni chake bali kilicho wajibu kwetu ni kumuabudu ALLAH pekee!
 
Inna li Llahi wa Inna iLlahi Rajiun.

Pole sana.
 
........Oh my dear X- Paster!! I'm deeply sorry to hear about the loss of your mama.
You & your family are in my thoughts. May her soul rest in perfect peace.
 
well, maybe hutakiwi kuwa JamiiForums kama umefiwa na mamaako mzazi.
 
pole sana mkuu....yote ni kazi ya Mungu.....
 
Pole saaana mkuu, Mwenyezi mungu amuondole mama hazabu ya kaburi amin.
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na wazazi wote wawili. Ndo ukubwa huo, mshukuru Mwenyezi Mungu kwa nyakati nzuri mlizokuwa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…