Nimefiwa na Mama Mzazi

Pole sana X-Paster kwa kupoteza mzazi...apumzike kwa amani
 
pole sana mkuu,sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi...................................
 
Pole sana X, kweli sie wote wa mola na kwake tutarejea, Mungu akupatie faraja na amani kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu dah!
Yani pole sana,msiba upo wapi?ni hapa Dar?na mazishi lini?
 
Pole sana wafiwa, mungu ailaze roho ya marehem mahara pema pepon,
Amina.
 
Pole sana, mwenyezi awape ustahmilivu wakati huu mgumu sana.
 

X-Paster,

Please accept my hearfelt condolences for the loss of your beloved mother.

Tiba
 
Mimi huwa nashangaa watu kulike hata tangazo la msiba. Maana yake nini? Pole mkuu. Mungu akupe nguvu kipindi hichi kigumu
 
Pole sana. May her soul rest in peace
 
Kaka Pole sana kwa msiba huu mkubwa. Mwenyezi MUNGU amhifadhi katika mwanga wa milele. Amen.
 
Usiogope mkuu! Wote tuta mfuata tu. Nikawaida. Mungu akupe uvumilivu.
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'oon, I am sorry to hear about the death of your mother.

I ask Allaah to give you patience at this time, dont feel negative about what has happened.

This is all Allah's decree.
 
pole sana,
marehemu alazwe mahala pema peponi
 

Mkuu pole sana kwa msiba mkubwa wa mama.Tuko pamoja nawe daima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…