Nimefiwa na Mama Mzazi

Inalillah wainna ilayhrajiuun.
Mungu ampe safari ya kheri, poleni wafiwa Inshallah Mungu awape subra na nguvu
 
Dah,...Najua inauma namna gabi having gone through the same

Pole sana Mkuu X Paster
 
Pole sana mkuu,

RIP mama,

Huo ni mtihani mkubwa sana ndugu yangu...Mungu akupe wewe, familia na wafiwa wengine nguvu za kuhimilii tukio hili ambalo ni zito sana kwenu!!!
 

Inna Lillah wa inna ilayhi Rajuun...pole sana kaka, mwenyezi Mungu
awajaalie subira, amsamehe marhum kwa aloyatanguliza nanyi msichoke
kumuombea dua....
 
pole sana mkuu,wakati mwingine tunaweza ona kuwa kifo ni adui mkubwa sana.jipe moyo kamanda.
 
R.I.P X-PASTER'S MOTHER.
Naimani Mungu yu nawe katika kipindi hiki kugumu na atakupa ujasiri wa kuyashinda machungu haya katika maisha yako
 
I am very sorry my friend. May God give you the strength to overcome your sorrow. Please read the holly scriptures (Imran: 169-170)
Mungu amlaza mahala pema...
 
X-PASTER - Pole sana kwa Msiba wa Mama. Mungu awajalie faraja katika kipindi hiki cha maombolezo.
 
ooo so sad!pole sana E-paster!mungu akupe uvumilivu na faraja yake ktk kipind hiki kigumu sana ulichonacho.tuko pamoja tunakuombea.bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe!
 
Pole sana mdau!Maamuzi ya mwenyezi mungu hayo R.I.P Mummy!!
 
Aisee......

Habari ya kusikitisha sana hii mkuu. Lakini mipango ya Mongu haina makosa.

Mungu ampumzishe kwa amani mama yetu mpendwa. AMEN
 
Pole sana mkuu.

Mwenyezi mungu amlaze pema peponi Amina!
 
Pole mkuu kwa msiba huu mzito tupo pamoja.
 
X-Paster,
I have learned with shock and sadness the untimely death of your beloved Mother. Indeed u have lost, forever, one of your most loyal and caring beings. Please accept my heartfelt condolences. May her soul rest in perfect peace!
Tuko pamoja sana Mkuu!
 
Hamna kipindi kigumu kama kuondokewa na mzazi pole sana kamanda Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki cha msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…