Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Da! Pole Mkuu,ni mapenzi ya Mungu,be strong.
 
Pamoja Mkuu, wengine ndio tunausoma ujumbbe saa hii, but tambua kwamba hii ni familia moja na linagusa mmojawetu linatugusa sote, uvae ujasiri katika kipindi kigumu unachopitia......

yap,its true! Be brave at ths tym of ur heart tyranny!
 
poleni sana,Mungu awatie nguvu,Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
pia nakushukuru sana mr mandieta kwa kunifariji nyumbani kwangu leo!allah akuzidishie mema.
 
Pole sana kaka mungu akujalie nguvu na kukufariji. tuko pamoja tunakuombea.
 
Bwana ameota na bwana ametwaa jina na Bwana lihimidiwe. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Lo pole!, inauma. Mungu akutie nguvu
 
Pole sana mkuu.mm na familia yangu tuko nawe ktk kipindi hiki cha mjozi.mola akupe nguvu na ilaze roho ya marehemu mahala pema peponi
 
ooo maskini! Am so sorry! Poleni sana spika mungu awape faraja ya kimungu,ktk kipindi kigumu sana kwenu,mungu amempenda zaidi,
so sad!
 
jamani samahani network ilikuwa inasumbua,nikajikuta natuma the same mesaji mara mbili.thts why nime delet moja.poleni kwa usumbufu.
 
pole sana yote mipango ya mwenyezi usife moyo
 
pole sana kaka i know its difficult to loose family member may God help u to face the situation
 
Hii co mahala pake bwana.ila pole sana kwa matatzo yaliyokupata mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…