CCM na serikali yake hawapaswi kutulazimisha kujiandikisha katika uchaguzi huu mdogo badala yake mnapaswa kujiuliza kwanini watanzania hawataki kupiga kura
Ni wazi kwamba wananchi walio wengi wamegundua kuwa hizi kura ni kiinimacho tu lkn ushindi kwenu lazima
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda kupanga foleni kupiga kura ambayo haitopewa heshima ya kimaamuzi
Watanzania waliowengi wameshawagundua na Sasa wamewasusia Sasa mwatufatia nini majumbani mwetu kutufosi kutuandikisha.