Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

Hii ndio tabu ya kuajiriwa,akili yote inafikiria kuingiziwa salio,siku tutakayostaafu sijui tutaishije mitaani,
na ma stress ya kujiajiri unayajua?

kila saa unafikiri kuwalipa watu mishahara yao

na ma stress ya bidhaa ambayo yamekudodea... na ma kodi ya TRA... na magharama ya ku run vyombo hasa vinapoharibika... kuna mwana mmoja ofisini kwake kuna bastola mezani, anadai wafanyakazi ili kuwasilisha mapato ya ukweli lazima aishi nao kidikteta... unaota mamvi kabla ya wakati...

shikilia ajira yako.... kazi mbaya kama unayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…