Nimefulia

Nimefulia

Chakachua statement yako bana umefulia status au sired au pesa au busu au msosi au mchuchu
 
Amini haupo peke yako tupo wengi. Usiwafwate wala bata kama unaela ya ngama.
 
Ajimuvuzishe hapa faster atapata kila kitu
Btw Husninyo hujambo. Hata mwaliko jamani
 
Jimuvuzishe hapa utapata kila kitu
Niko poa kabisa sina mbaya
 
Chakachua statement yako bana umefulia status au sired au pesa au busu au msosi au mchuchu
<br />
<br />
yote hapo juu m2 wangu,kama kuna kaz yoyote naomba nisaidien wakuu
 
Back
Top Bottom