Nimefulia

Take heart mkuu, keep on searching na Mungu atakusaidia.
 
Mi nililoweka nilipogundua sina nyingine nilitoa ktk maji nikaanika. Hivyo nimekuwa manusura wa kufulia. Pole mkuu! Neksti taimu bi moa zani keafuli... Yu fili mi?
 
kama hujafulia kwa sabuni huna shida maana uchafu bado upo..........................kama umefulia noti usijali utapata nyingine...............kama umechemsha usibabaike ...........life is all about the second chance................................kwa hiyo vuta subira kwani huleta kheri.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…