WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
Vidume kama nyie ndo mnatakiwa sasa..na cyo kina ooh nkamchunia cjapokea cmu,.. Uku roho znadundia kwenye boxa..bigap bro
Kidume? kidume analiwa demu wake? dawa ya mwanamke ni rijali wa ukweli, ukiwa rijali wa maana mwanamke haipeleki kwingine, hata alale na njaa.
Kidume? kidume analiwa demu wake? dawa ya mwanamke ni rijali wa ukweli, ukiwa rijali wa maana mwanamke haipeleki kwingine, hata alale na njaa.
Dah! Women noma. Naanza kujisikia vibaya, nikijua kabisa kuwa nilikuwa nampenda na hakuna kitakachonifanya wala kunishawishi kurudiana nae
bado sijajua kama naumia moyo ama la. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi
we hayajakukuta af pia mwenzako ameeleza yalomkuta,inkifup nakushangaa sana unavomshtum kuwa c rijal,na nauhakika ungekuwa wew ungerusha ngumi,bt ametumia utimamu wake na ustarab ktk kutatua tatizo,urijal c kukamua tui tu kitandan bro,..
Pole sana! Hiyo inaitwa kipya kinyemi..
Consider that as a punch on your chin that has landed you on the floor. Just collect yourself, stand up and plan another move soberly. Don't you hurry up because you might take another upper cut and receive more pains. By the way this could be a blessing in disguise for you.
we hayajakukuta af pia mwenzako ameeleza yalomkuta,inkifup nakushangaa sana unavomshtum kuwa c rijal,na nauhakika ungekuwa wew ungerusha ngumi,bt ametumia utimamu wake na ustarab ktk kutatua tatizo,urijal c kukamua tui tu kitandan bro,..
Mwanamke anaepata akakolea yupo radhi kulala na njaa. Urijali sio kusimamisha tu, ni pamoja na kutunza na kutoa mahaba na kumkinaisha mwanamke na vitamanio vyote. Huyo wallet hata akichukuwa mwengine leo mambo yatakuwa hivyo hivyo tu.
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na kahamia hapo kama siku 3 hivi. Jioni iliyopita tuliagana vizuri baada ya kusolv tofauti zetu. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Ndipo nikashuka toka boda2 nikajibanza sehem kushuhudia. Nikaamua kwenda hadi mlangoni. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi... Nimemwaga on the spot. Wito wangu kwa wanaume, mwanamke akishaanza kuwa na viswahili vingi muogope.