sasa wewe ni mtu mzima na umesema una kaz yko.km vp fanya uoe tu haya mambo ya kujibanza milangon kwa watu tena alfajiri sometimes unaweza kudhaniwa mwizi ukapigwa bure na dunia yenyewe ya leo hii kaka ilivyo,chunga sana.
Yote maisha wandugu. Wanaume tuishi na wanawake kwa akili. Kwa mwanamke ambaye mmeshawekeana ahadi kadhaa ni zaidi ya mpitanjia. Nashukuru Mungu nimeona mwenyewe
He jamani pole sana! Kuna wanawake njaa zinawatesa sana hawana uwezo wa kuvumilia kabisa, huenda wewe anakupenda kiukweli ila kuendekeza njaa bila kuitafutia ufumbuzi wa kudumu ndio kunamponza...