CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Poa mkuu ahsante!Unaanza na soda na nusu kuku, mwisho oh ka reds kidogo mara glass ya wine. Haya njoohapa Lenana saa mbili nitakuwa nimesha rudi mjini
Sasa unataka nini? Hela?
Hivi King'asti bado unaishi pale pale kijitonyama au ulishahamia kwako Bunju B?Njoo nyumbani kwangu utapata soda, nusu kuku, na kadhalika. Nakui-box direction, ama nikutumie na usafiri?
Ndg zangu wana jf.
Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka" Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada.
Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku!
Ndg zangu wana jf.
Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka"
Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada.
Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku!
Ah mimi nilidhani umefumaniwa na mwanamke wa mtu halafu ukatimuliwa mbio na fimbo au panga mkononi.
Wacha kutumia maneno yasiyohusu mada unayoongelea. Hebu tafuta maana ya kufumaniwa. Ni kwamba wewe uko 'broke' huna fedha mfukoni na havina uhusiano na kufumaniwa.