CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 933 Apr 8, 2012 Thread starter #21 Mhh!nilikuja mbio kumbe mizinga? Ngoja nigeuke nikaendelee kuchapa supu langu la bamia na ngogwe! We endelea na fumanizi lako.
Mhh!nilikuja mbio kumbe mizinga? Ngoja nigeuke nikaendelee kuchapa supu langu la bamia na ngogwe! We endelea na fumanizi lako.
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 867 Apr 8, 2012 #22 mandieta said: Ndg zangu wana jf. Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka" Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada. Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku! Click to expand... Nadhani ulitaka kuchekesha watu lakini kama ni kweli jipe moyo hayo ndiyo maisha mkuu.
mandieta said: Ndg zangu wana jf. Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka" Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada. Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku! Click to expand... Nadhani ulitaka kuchekesha watu lakini kama ni kweli jipe moyo hayo ndiyo maisha mkuu.