[emoji124] [emoji124] [emoji124]Habari ya mchana wakuu
Nahisi kuchanganikwa hapa, nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana, pesa iliyopatikan ni ya kulipa watumishi tu,hivi hii ni kawaida kwa biashara yoyote mpya inavyoanza anza au kwangu imenigomea tu.
HahahahahaChukua vyeti vyako vya chuo pita maoficn ukaombe ajira, biashara waachie wenyewe Mzee.
Emu tuambie ni bishara gani dada unayofanya tunaweza kukusaidia mbinu nyengine za kuendesha iyo biashara saiv ukiamua kufanya biashara halaf ukakaa tu na kubweteka kusubir wateja waje dukan itakula kwako ni lazima uwe na mbinu mbadala ya kuweza kuwafikia wateja wako walipo.......
Unafaanya bishara gani, ya chakula nini? (Mgahawa)Habari ya mchana wakuu
Nahisi kuchanganikwa hapa, nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana, pesa iliyopatikan ni ya kulipa watumishi tu,hivi hii ni kawaida kwa biashara yoyote mpya inavyoanza anza au kwangu imenigomea tu.
Ni kweli kabisa nishashuhudia wanaofungua biashara, mimi hua natembelea mawakala wadogo wanaokata ticket za ndege/booking za hotel nakutoa huduma za utalii. Moja ya changamoto hua wanakaa nakusubir. Wateja ambao sio jinsi biashara ya sasa ilivo. Shamba la bibi siku izi lina uzio sio kila mtu anakula bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]Emu tuambie ni bishara gani dada unayofanya tunaweza kukusaidia mbinu nyengine za kuendesha iyo biashara saiv ukiamua kufanya biashara halaf ukakaa tu na kubweteka kusubir wateja waje dukan itakula kwako ni lazima uwe na mbinu mbadala ya kuweza kuwafikia wateja wako walipo.......
Doooooh vpeee lakini ilo eneo ulilofungua iyo biashara population ya watu ikoje? Na je umeona pana uhitaji wa saloon ya kiume ndo maaana ukafungua? Na je ushindani wa iyo biashara apo eneo ulilopo ukoje ? Au umefungua tu kwa kua umepata frame ya bei rahisi? Ok tumia mitandao ya kijamii Inatgram fb Magroup ya whatssap kuvutia wateja Insha Allah M/Mungu atakujalia utafanikiwani salon ya kiume
Hahaha daaah mtihani kwa kweli....Ni kweli kabisa nishashuhudia wanaofungua biashara, mimi hua natembelea mawakala wadogo wanaokata ticket za ndege/booking za hotel nakutoa huduma za utalii. Moja ya changamoto hua wanakaa nakusubir. Wateja ambao sio jinsi biashara ya sasa ilivo. Shamba la bibi siku izi lina uzio sio kila mtu anakula bure [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Location sio poa maybeni salon ya kiume