Wadau wa JF katika harakati za kujikomboa kimaisha nimeona nianzishe darasa la computer. Ambalo huko mbeleni natarajia ije iwe college ya mambo ya IT. Nimeanza na desktop 6 na lap top 3. Then huko mbele nitaongeza mashine.
nina qualification za Bed/comp science naomba tushare mambo yafuatayo
1.technique ambazo naweza kuapply kupata wanafunzi
2.changamoto katika field hii
3.stratagic maan vision yangu ni kuja kuwa na college kubwa sio center
3.pia kama ungependa ushirikiano tunaweza kufanya kazi.
4:site yangu iko sehemu powa naweza kuuza vitu vya IT kama unaconnection tunaweza kuongea nikachukua mzigo
5.asante na karibuni.jina la chuo sijalitoa hapa jf maana usajiri bado ndo nimenza.mkoa niko kilimanjaro