RockBlockHolili
Member
- Sep 5, 2022
- 87
- 141
Maisha yana ups and down nimefungua duka kibanda nauza kila kinachokuja kichwani nauza kila kitu ambacho nimeulizwa na wateja wangu. Je ni sawa?
Nifanyeje ili nipate faida? duka langu lipo njiapanda ya Himo karibu na Mizani mpya ndio naanza nimeanza kwa kukesha 24 hrs lipo wazi
Naombeni ushauri na kama inawezekana mkipita hapa mniungishe
Nitaliita JAMII SHOP