kinyoba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2011 Posts 1,267 Reaction score 720 Jun 8, 2011 #41 ni kweli kua mtu akiwa na tb pia anauwezekano wa kua na hiv, lakini si wote wenye tb wna hiv, tukiwa na imani hiyo mashaka na hofu vitapungua coz tb is completely curable.
ni kweli kua mtu akiwa na tb pia anauwezekano wa kua na hiv, lakini si wote wenye tb wna hiv, tukiwa na imani hiyo mashaka na hofu vitapungua coz tb is completely curable.