Mwanantala
Senior Member
- May 13, 2010
- 130
- 26
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wenu kuhusu sheria kwa mashtaka bandia. Nimeshtakiwa polisi na mtu nisiyemjua akidai kwamba alinipa pesa. Nimemuuliza mpelelezi huyo mlalamikaji kama ananifahamu lakini hakunijibu. Naomba mwongozo wenu ili jalada hili litumike kunilipa fidia kwa kunichafulia jina langu.