Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Nimefurahi kwamba Mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Mbagala mambo safi na pia njia ya Posta hadi Tegeta inajengwa. Hata hivyo, nachojiuliza kuhusu ile njia ya Bunju hadi Bagamoyo, watawezaje kuifanya kwa sababu njia ni nyembamba sana.
Itakuwa poa sana kama ikifika Bagamoyo!
Itakuwa poa sana kama ikifika Bagamoyo!