Nimefurahi kuhusu Mwendokasi

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Nimefurahi kwamba Mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Mbagala mambo safi na pia njia ya Posta hadi Tegeta inajengwa. Hata hivyo, nachojiuliza kuhusu ile njia ya Bunju hadi Bagamoyo, watawezaje kuifanya kwa sababu njia ni nyembamba sana.

Itakuwa poa sana kama ikifika Bagamoyo!
 
Wal
E wotee pemben wako kwenye eneo la serkl mkuu tunawapa siju 30 tu simple
 
Shida ya Mwendokasi sio tu barabara, magari.

Njia ya Posta-Kimara bado shida kubwa sana,
 
Bado CHADEMA wanataka kuandamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…