Nimefurahi kujiunga JamiiForum

Nimefurahi kujiunga JamiiForum

urugasa

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
24
Reaction score
10
Habari wanajukwaa.

Nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana.

Niwataje angalau kina lara 1, tyta, mamdenyi, mdengereko mh!! Mko wengi siwezi kuwataja wote, naheshimu mawazo yenu kila mmoja kwa nafasi yake labda niseme tu.

Hodi! Jamii Forums.

Habari zenu wanajukwaaa!!! nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini!! nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana! niwataje angalau kina lara 1, tyta, mamdenyi, mdengereko mmmmh!! mko wengi siwez kuwataja wote!! naheshimu mawazo yenu kila mmoja kwa nafas yake!! labda niseme tu !HODI JAMII FORUM!

Karibu ila ingia kwa kutanguliza mguu wa kulia.
 
hahahaha safi sana mkuu, naona ile ID yako ya mwanzo ilichafuliwa sana na mahasimu wako. umerudi kivingine! karibu
 
Karibu mkuu ila usitangilze mguu wa kulia kama ulivyoambiwa maana Hawachelewi kuingiza mikwaju
 
Habari wanajukwaa.

Nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana.

Niwataje angalau kina lara 1, tyta, mamdenyi, mdengereko mh!! Mko wengi siwezi kuwataja wote, naheshimu mawazo yenu kila mmoja kwa nafasi yake labda niseme tu.

Hodi! Jamii Forums.

karibu mkuu..
 
Back
Top Bottom