Nimefurahi kujiunga JamiiForum

urugasa

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
24
Reaction score
10
Habari wanajukwaa.

Nina furaha isiyo kifani kuwa miongoni mwa wanajukwaa hili la watu makini nimekuwa nikisoma mada zenu mbalimbali na majibizano au majadiliano yenu na kuvutiwa sana.

Niwataje angalau kina lara 1, tyta, mamdenyi, mdengereko mh!! Mko wengi siwezi kuwataja wote, naheshimu mawazo yenu kila mmoja kwa nafasi yake labda niseme tu.

Hodi! Jamii Forums.

 

Karibu ila ingia kwa kutanguliza mguu wa kulia.
 
hahahaha safi sana mkuu, naona ile ID yako ya mwanzo ilichafuliwa sana na mahasimu wako. umerudi kivingine! karibu
 
Karibu mkuu ila usitangilze mguu wa kulia kama ulivyoambiwa maana Hawachelewi kuingiza mikwaju
 

karibu mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…