Malaika wa Waha
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 319
- 885
Nilikuwa nikitumia JF kama Guest tangu zamani ila sasa nimefungua akaunti rasmi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nikitumia JF kama Guest tangu zamani ila sasa nimefungua akaunti rasmi.
Asante sanaKaribu mkuu
Asante mkuuSawa malaika wa waha, karibu.
Wote vibonde hao mimi Timu UrusiKaribu sana Malaika. Vipi wewe ni timu Taliban au Wayahudi?
Asante ndugu yanguKaribu sana ndugu yangu, karibu sana.
Karibu karibu......Nilikuwa nikitumia JF kama Guest tangu zamani ila sasa nimefungua akaunti rasmi.
Mlimhola bhaha.Nilikuwa nikitumia JF kama Guest tangu zamani ila sasa nimefungua akaunti rasmi.
Nilitaka nimuulize swali hilo hiloUmefurahishwa na nini
Ambao hatukujitambulishaga sijui tuwekwe wapi??Kila mtu mpya anakuja kwa gia hii.
Msijifiche Kama ndio kina Mafwele mjiseme tu.