Nimefurahi Samatta kuihama Aston Villa

Nimefurahi Samatta kuihama Aston Villa

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Binafsi naona kuhama A.villa kwenda Fenerbahçe kwa Mbwana Samatta ni hatua moja mbele japo walio wengi wanaona ame anguka.

Ukiziangalia hizi tumu mbili kwa historia yao ya huko nyuma A.Villa ni timu kubwa, lakini kwa sasa Villa ni timu ndogo sana! hasa unapo zungumzia soka la Ulaya.

Kilicho iweka A. Villa kuonekana ya maana ni kwa sababu tu inshiriki EPL hakuna kikingine na ushuriki wake ni tia maji tia maji, bila shaka msimu huu wataenda Championship,

Samatta kakaa nusu msimu tuu Villa ila idadi ya wagonjwa wa Moyo Tanzania imeongezeka kwa presha za Villa kushuka daraja, timu ni ya hovyo kabisa.

Kimsingi unapo zungumzia Derby 5 bora Ulaya basi huwezi kuacha kuizungumzia Istanbul Derby inayozikutanisha timu za jiji Istanbul yani Garatasaly na Fenabece, hii ni derby bora kabisa na ina beba hisia za mamilion ya watu dunia kote.

Villa hakuna derby ya maana mana hata rivals wao West blom ni ya hovyo tuh! mana timu zote ziko hoi.

Fenerbahce na Garatalay ni timu kubwa Uturuki kama unavyo zungumzia Simba na Yanga Tanzania au Real Madrid na Barcelona Spain
Ila hii Villa hata kwenye vilabu 20 vya Uingereza haipo kwa sasa.

Kikubwa ni kwamba Samatta anarudi kwenye michuano ya Ulaya, mwaka huu Fenabace wanashiriki michuano ya Ulaya msimu huu tofauti na Villa ambayo hata ndoto ya kushiriki hawana.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
Mungu saidia A. Villa ishuke daraja msimu huu na warudi championship
 
Timu kubwa zamani lakini sio sasa hivi mfano misimu miwili iliyopita walikuwa wanapigania kutoshuka daraja, sasa hivi kuna timu kama Intanbul Bahsehir, Besiktas, Alanyanspor au keyserspor, sio mbaya Kama anapata time ya kucheza maana hata hiyo super league imepoteza uelekeo labda Galatasaray
 
EPL ngumu sana... Samatta ni mchezaji wa kawaida sana .. villa walikuwa wanajaribu soko TZ lakin wakaona hamna kitu... Kama man u au Liverpool inavyosajili wajapan...sio kila mchezaji anapelekwa akacheze wengine kutafuta mashabiki wa nchi zao
 
Naunga mkono hoja..

Mie naona aston villa ni wehu wa kiwango cha lami, wanshindwa vipi kuona kama kocha wao ni tatizo, yule grealish wanaempamba ana mapungufu mengi kuliko mazuri anayowaofa.
 
Binafsi naona kuhama A.villa kwenda Fenerbahçe kwa Mbwana Samatta ni hatua moja mbele japo walio wengi wanaona ame anguka.

Ukiziangalia hizi tumu mbili kwa historia yao ya huko nyuma A.Villa ni timu kubwa, lakini kwa sasa Villa ni timu ndogo sana! hasa unapo zungumzia soka la Ulaya.

Kilicho iweka A. Villa kuonekana ya maana ni kwa sababu tu inshiriki EPL hakuna kikingine na ushuriki wake ni tia maji tia maji, bila shaka msimu huu wataenda Championship,

Samatta kakaa nusu msimu tuu Villa ila idadi ya wagonjwa wa Moyo Tanzania imeongezeka kwa presha za Villa kushuka daraja, timu ni ya hovyo kabisa.

Kimsingi unapo zungumzia Derby 5 bora Ulaya basi huwezi kuacha kuizungumzia Istanbul Derby inayozikutanisha timu za jiji Istanbul yani Garatasaly na Fenabece, hii ni derby bora kabisa na ina beba hisia za mamilion ya watu dunia kote.

Villa hakuna derby ya maana mana hata rivals wao West blom ni ya hovyo tuh! mana timu zote ziko hoi.

Fenerbahce na Garatalay ni timu kubwa Uturuki kama unavyo zungumzia Simba na Yanga Tanzania au Real Madrid na Barcelona Spain
Ila hii Villa hata kwenye vilabu 20 vya Uingereza haipo kwa sasa.

Kikubwa ni kwamba Samatta anarudi kwenye michuano ya Ulaya, mwaka huu Fenabace wanashiriki michuano ya Ulaya msimu huu tofauti na Villa ambayo hata ndoto ya kushiriki hawana.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
Mungu saidia A. Villa ishuke daraja msimu huu na warudi championship
Naunga mkono hoja yako
 
Samatta bado yuko level za Ulaya... Fernabahce ni timu kubwa sana.

Piga kazi CAPTAIN DIEGO
 
Back
Top Bottom