ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Pongezi kwao Mod's wa JF, maana wametuwekea option ya kuzitoa hizo Likes kwenye M-pesa,Seat ya kwanza
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]acha bangi.Pongezi kwao Mod's wa JF, maana wametuwekea option ya kuzitoa hizo Likes kwenye M-pesa,
JamiiForum imeyafanya maisha yawe rahisi sana Doll, sasa unaweza kutoa Likes zako M-pesa.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]acha bangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe, ngoja nikatoe zangu [emoji13][emoji13][emoji13]JamiiForum imeyafanya maisha yawe rahisi sana Doll, sasa unaweza kutoa Likes zako M-pesa.
Mpaka sasa viwango vya kubadilishia hizo Likes ni Tsh 160 kwa kila Like, kwahiyo ukiwa na Likes 10,000, basi una hela nzuri tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pongezi kwao Mod's wa JF, maana wametuwekea option ya kuzitoa hizo Likes kwenye M-pesa,
Huyu jamaa anamtaji kabisa wa biashara ndogo ndogo.Pongezi kwao Mod's wa JF, maana wametuwekea option ya kuzitoa hizo Likes kwenye M-pesa,
Yes, akizitumia vizuri lazima atoboe...Huyu jamaa anamtaji kabisa wa biashara ndogo ndogo.
Roho mbaya hiyo, ndo mana kuna mwana jf mmoja amemisi like, kumbe ni ticket ya kwendea kwa Mungu baba.Dah.. kihisabati..chukua likes ulizotoa gawanya na zile ulizopewa Kisha zidisha kwa 100....ukipata chini ya 85%....huendi Mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160