Penguinelli Cactussini Senior Member Joined May 23, 2022 Posts 106 Reaction score 383 Mar 31, 2026 #1 Hii inaonyesha ni kwa namna gani TAKUKURU wamejipanga kukabiliana wezi wa mali za umma. Yamepotea mabilioni na mikataba ya magumashi ila WAMEFANIKIWA kuokoa Shilingi milioni 259.2 lazima tuipongeze ni hatua kubwa.
Hii inaonyesha ni kwa namna gani TAKUKURU wamejipanga kukabiliana wezi wa mali za umma. Yamepotea mabilioni na mikataba ya magumashi ila WAMEFANIKIWA kuokoa Shilingi milioni 259.2 lazima tuipongeze ni hatua kubwa.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Mar 31, 2026 #2 CCM Majizi