Wakati misuko misuko ya kisiasa ilipokuwa upande wa Zanzibar, wanasiasa wengi waliamini mizozo ya kisiasa ya Zanzibar ni ya kihistoria, hawakujua kwamba ilikua nguvu moja kuindoa nyingine. Wanajf wengi wakiponda wakiona kama mambo ya kufikirikika.
Sasa yamehamia upande wa pili. Ambao enzi walihisi hatayafika ni ya kufikirika fikirika na hadithi za bunuasi.
CHADEMA na wanaharakati wajifunze. Kula na kushiba hakuna dini wala kabila, hakuna binaadam asietaka kutembea na gari nzuri au kuishi ya starehe, labda wachache wanaongalia maisha yao baada ya kufa yatakuwa vipi, vyenginevyo utaamini umetumwa duniani kuja kuongoza na sio kuongozwa