Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

Nani amle kchwa ? Huyo bingwa wa kubadili gia angani ndio aongoze nchi hii ?
Mama ni dhaifu kisiasa, na kwasababu hii 2025 ataliwa kichwa!
Huu mchezo hauhitaji hasira jamani hahahah...
 
Mleta mada poleni MaCHADEMA hiyo ni wembe kuwili.
Ila pigeni domo tu kuondoa machungu.
 
Jamani, ugaidi siyo wa kukumbatia hata kidogo. Tuache tu mahakama ifanye kazi yake.
 
hii nchi kuna watu wanafiki nyinyi[emoji28][emoji28][emoji28]ahhh.

sabaya kala mvua,watu wamechinja mbuzi na kuisifu mahakama,mbowe hata hajafungwa siku moja.tayari kelele.
 
Umenena vyema. Walio na Roho wa Mungu watakuelewa, na nafsini mwao watanena na Mungu.

Nao waishio na shetani mioyoni mwao watafurahia, sawa na watawala wetu hawa wenye ndoa ya kudumu na yule mwovu, shetani. Lakini wasichojua ni kuwa Shetani wanayeishi naye hana ndoa na mwanadamu. Amewapa nafasi ya muda mfupi kufurahia ili waangamie milele kwa ujinga wao.
 
Kwa Sabaya haki imetendeka na mahakama ni huru. Kwa Mbowe haki haijatendeka na mahakama siyo huru. What a double standard!

Wakiguswa wengine mnanyamaza, akiguswa gaidi mnataka sote tumpiganie eti wakimalizana nao watakuja na kwetu!

Pathetic fools.
Sabaya alikiri, je, Mbowe nae amekiri makosa?
 
Kwa ushetani huu ambao huyu Mama anaufanya, hakika atawafanya Watanzania, hasa wa bara wauone hata Muungano ni sehemu ya ushetani.

Mtu hawezi kutoka kwenye visiwa nukta kuja kuwaumiza wananchi wa Taifa mlima. Hapa naikumbuka kauli ya marehemu Mtikila, "kama huu unyama unapendwa huko kwao, wamwambie huyo TX akaufanyie huko kwao Mchambawima"
 
Kuna jambo baya sana Wakubwa wanalijenga katika mioyo ya Watanzania. Na si kwamba hawajui, wanajua. Katika vikao vyao huwa wanaambizana. Lkn mwisho wanakubaliana kwamba Watanzania hawana ujasiri huo. Wanaamini Nchi zingine wana mioyo tofauti na Watanzania.

Lkn, siku Ujenzi huu ukikamilika, watambue kwamba wakubwa huonekana kirahisi kuliko wanyonge..hivyo madhara yakakuwa makubwa zaidi kwao.
 
Uvunjwe huu muungano fake unaotuletea madikteta kama hili
 
Huu utawala wa kishetani lazima tuukatae mkuu
 
Sasa kuna nini mule cha maana? Tumia akili yako kuangalia mambo usipumbazwe na siasa zako za chuki, hata mtoto anajua kesi ya Mbowe ni ya chuki tu.
Subirini mahakama itende haki kama ilivyotenda kwa Sabaya.
 
Kwa nini atoe rushwa ya cheo kwa Jaji anayeisikiliza hii kesi, wakati yeye ndiye anayemshtaki Mbowe?

Kwa nini mtu ambaye ni TISS apewe cheo kikubwa ndani ya mahakama? Hii siyo kuvuruga mahakama?

Huyu ni shetani katika umbile jingine. Na anaweza kuwa hatari kuzidi hata marehemu. Marehemu alikuwa muwazi. Kama anakuchukia au anataka kukuonea, atasema wazi. Huyu ni mnafiki. Sauti ya upole, ushungi haubanduki, lakini kilichopo ndani ni uchafu mtupu.

Amekuwa kama kaburi ambalo nje limepambwa kwa maua lakini kilichopo ndani kila mmoja anajua.

Anayemshtaki Mbowe ni Serikali, na kiongozi mkuu wa Serikali ni yeye, halafu anampandisha cheo jaji anayesikiliza kesi ambayo yeye ninmlalamikaji. Hii siyo rushwa ya wazi kabisa?
 
Mbowe anakula miaka kimasihara hivi ukishangilia ya sabaya shangilia na ya mbowe

USSR
Kulinganisha matatizo na makosa ya Sabaya na ya Mbowe , sijui ni uelewa au ni ushabiki . Mwingine ametenda Jambo na mwingine hajatenda Jambo . Utalinganishaje mambo haya ?!

Elimu yetu ina matatizo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…