Nimefurahia utoto wangu wote na ujana kwa amani,sasa nataka kujiunga ña chama kilicho asisi hayo..

Nimefurahia utoto wangu wote na ujana kwa amani,sasa nataka kujiunga ña chama kilicho asisi hayo..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Vyama sijui Hutumia mbinu gani kuwafanya watu wanafurahia maisha,ndugu Polepole tukitaka kujiunga tunaanzaje maana nachojua ktk chama watu wote ni sawa ila naona wengine wanapewa kadi ya chama na mh.rais, wengine wewe,sasa sijui mnapatikana vipi

Toeni mwongozo na vitu vinavyotakiwa kama ni kitambulisho, ada na mdhamini au la,pia wabsite ya chama muhimu Tutajulia wapi utaratibu.

Lengo ni kuwa mwanachama wa kawaida

Ila ndugu Polepole uwe unapokea simu na kujibu meseji ikiwemo whatsapp

Serikali zote ni kama jua zinaona pote hivyo ujumbe huu naamini umefika.

Instagram:kaukwaju
 
Back
Top Bottom