Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Mkuu ni kosa kubwa kuhatarisha amani ya uwanjani, sasa uliza kwanini walirudi uwanjani?Mtoa mada utakua UVCCM maana ndio chimbo la vilaza
Stupidly umeiweka references contrary to what transpired in Morocco, Morocco ndiyo waliokuwa wakifanya mauzauza kuanzia kero za kuchukuliwa face towels za goalkeepers, unfair refereeing(proven) na uchafu mwingi uliodhihirisha uwepo wa corruption nje na ndani ya viwanja ila sishangai kwani upuuzi uliopo kwenye michezo ushabiki wa kipumbavu ni mwingi na husababisha watu kuwa irrational kwenye mijadala.Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata.
Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile kwenye uwanja wenye watazamaji zaidi ya elfu 50? Ulitaka wauane? Ulitaka wadhamini wa mashindano walifikirie vipi soka la Afrika?
1. Juventus โ Serie A (2005 & 2006)
Walitwaa ubingwa wa Serie A
Baadaye walinyangโanywa makombe yote mawili kutokana na kashfa ya kupanga waamuzi (Calciopoli)
2005 haikupewa mtu, 2006 walipewa Inter Milan
2. Olympique de Marseille โ Ligue 1 (1992โ93)
Walitangazwa mabingwa wa Ligue 1
Baadaye walinyangโanywa ubingwa huo baada ya kuthibitika kupanga matokeo (match-fixing)
Huo ubingwa haukupewa timu nyingine
3. Steaua Bucharest vs Dinamo Bucharest โ Kombe la Romania (1988)
Mechi ya fainali ilisimamishwa kwa utata
Kwanza kombe walipewa Steaua, kisha likaondolewa/kuhamishwa kwa maamuzi ya kamati
Tukio hili linajulikana kwa mzozo mkubwa wa kisiasa wakati huo
4. FC Sion โ Kombe la Uswisi
Walishinda Swiss Cup
Baadaye wakanyangโanywa haki ya kushiriki mashindano ya Ulaya kwa kutumia mchezaji asiye halali
Ingawa kombe lenyewe halikuondolewa moja kwa moja kila wakati, ushindi wao uliathiriwa rasmi
5. Legia Warsaw โ Ligi ya Poland (1992โ93)
Walimaliza juu kwenye Ekstraklasa
Lakini walinyangโanywa ubingwa kwa tuhuma za kupanga matokeo mechi ya mwisho
Ubingwa ulipewa timu nyingine
Mkuu nafikiri kilichofanyika kwa Senegal kutoa timu uwanjani kilikuwa kitendo cha match fixing, kuandermine timu pinzani kisaikolojia na kutafuta kuharibu kwa makusudi mchezo jambo ambalo likiachwa litaaharibu mpira wa miguu na mambo kadha.Stupidly umeiweka references contrary to what transpired in Morocco, Morocco ndiyo waliokuwa wakifanya mauzauza kuanzia kero za kuchukuliwa face towels za goalkeepers, unfair refereeing(proven) na uchafu mwingi uliodhihirisha uwepo wa corruption nje na ndani ya viwanja ila sishangai kwani upuuzi uliopo kwenye michezo ushabiki wa kipumbavu ni mwingi na husababisha watu kuwa irrational kwenye mijadala.
Umejitahidi kusite mifano but mifano uliyotoa badala ya kuongeza uzito wa hoja yako ndo kwanza inaififisha hoja. Hivi unajua kuwa match fixing ni kosa kubwa sana kwenye any sport field si kwenye football tu. Kupanga matokeo unakula na kifungo kabisa, kupigwa life ban au timu kushushwa madaraja ya chini kama ilivyotokea kwa Juventus.Senegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata.
Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile kwenye uwanja wenye watazamaji zaidi ya elfu 50? Ulitaka wauane? Ulitaka wadhamini wa mashindano walifikirie vipi soka la Afrika?
1. Juventus โ Serie A (2005 & 2006)
Walitwaa ubingwa wa Serie A
Baadaye walinyangโanywa makombe yote mawili kutokana na kashfa ya kupanga waamuzi (Calciopoli)
2005 haikupewa mtu, 2006 walipewa Inter Milan
2. Olympique de Marseille โ Ligue 1 (1992โ93)
Walitangazwa mabingwa wa Ligue 1
Baadaye walinyangโanywa ubingwa huo baada ya kuthibitika kupanga matokeo (match-fixing)
Huo ubingwa haukupewa timu nyingine
3. Steaua Bucharest vs Dinamo Bucharest โ Kombe la Romania (1988)
Mechi ya fainali ilisimamishwa kwa utata
Kwanza kombe walipewa Steaua, kisha likaondolewa/kuhamishwa kwa maamuzi ya kamati
Tukio hili linajulikana kwa mzozo mkubwa wa kisiasa wakati huo
4. FC Sion โ Kombe la Uswisi
Walishinda Swiss Cup
Baadaye wakanyangโanywa haki ya kushiriki mashindano ya Ulaya kwa kutumia mchezaji asiye halali
Ingawa kombe lenyewe halikuondolewa moja kwa moja kila wakati, ushindi wao uliathiriwa rasmi
5. Legia Warsaw โ Ligi ya Poland (1992โ93)
Walimaliza juu kwenye Ekstraklasa
Lakini walinyangโanywa ubingwa kwa tuhuma za kupanga matokeo mechi ya mwisho
Ubingwa ulipewa timu nyingine
Hujielewi+ mtindioSenegali walifanya tukio la aibu mbele ya wageni na dunia nzima. Wakati mpira wa Afrika ukianza kuimarika na kutazamwa na watu wote dunia wao Senegal hawakuona hilo na wala hawakuweza kufikiri nini kinafuata.
Mpira ni biashara na hatima za maelfu ya watu unawezaje kufanya blander kama ile kwenye uwanja wenye watazamaji zaidi ya elfu 50? Ulitaka wauane? Ulitaka wadhamini wa mashindano walifikirie vipi soka la Afrika?
1. Juventus โ Serie A (2005 & 2006)
Walitwaa ubingwa wa Serie A
Baadaye walinyangโanywa makombe yote mawili kutokana na kashfa ya kupanga waamuzi (Calciopoli)
2005 haikupewa mtu, 2006 walipewa Inter Milan
2. Olympique de Marseille โ Ligue 1 (1992โ93)
Walitangazwa mabingwa wa Ligue 1
Baadaye walinyangโanywa ubingwa huo baada ya kuthibitika kupanga matokeo (match-fixing)
Huo ubingwa haukupewa timu nyingine
3. Steaua Bucharest vs Dinamo Bucharest โ Kombe la Romania (1988)
Mechi ya fainali ilisimamishwa kwa utata
Kwanza kombe walipewa Steaua, kisha likaondolewa/kuhamishwa kwa maamuzi ya kamati
Tukio hili linajulikana kwa mzozo mkubwa wa kisiasa wakati huo
4. FC Sion โ Kombe la Uswisi
Walishinda Swiss Cup
Baadaye wakanyangโanywa haki ya kushiriki mashindano ya Ulaya kwa kutumia mchezaji asiye halali
Ingawa kombe lenyewe halikuondolewa moja kwa moja kila wakati, ushindi wao uliathiriwa rasmi
5. Legia Warsaw โ Ligi ya Poland (1992โ93)
Walimaliza juu kwenye Ekstraklasa
Lakini walinyangโanywa ubingwa kwa tuhuma za kupanga matokeo mechi ya mwisho
Ubingwa ulipewa timu nyingine
Mkuu nafikiri kilichofanyika kwa Senegal kutoa timu uwanjani kilikuwa kitendo cha match fixing, kuandermine timu pinzani kisaikolojia na kutafuta kuharibu kwa makusudi mchezo jambo ambalo likiachwa litaaharibu mpira wa miguu na mambo kadha.
Lastly siyo kwa ubaya ila uwasilishaji wako wa hoja umekuwa wa kuudhi na kuumiza hisia zangu.
Kwani refa alichokifanya sio kuhatarisha amani ya uwanja !? What if watu wangeandamana uwanjani na kufanya vuruguMkuu ni kosa kubwa kuhatarisha amani ya uwanjani, sasa uliza kwanini walirudi uwanjani?
adhabu waliyopewa ilikuwa inahusu nini?Mkuu nafikiri kilichofanyika kwa Senegal kutoa timu uwanjani kilikuwa kitendo cha match fixing, kuandermine timu pinzani kisaikolojia na kutafuta kuharibu kwa makusudi mchezo jambo ambalo likiachwa litaaharibu mpira wa miguu na mambo kadha.
Lastly siyo kwa ubaya ila uwasilishaji wako wa hoja umekuwa wa kuudhi na kuumiza hisia zangu.
Wee umia tu hisia zako , matendo ya Morocco yalikuwa ni unyama ukatili na ushenzi wa hali ya juu Kwa wapinzani wao , Kama unawasema Senegal kwamba kitendo chap kilikuwa ni Cha Uvunjifu wa amani basi ulipaswa kuanza na morroco kwanza maana wao walikuwa na matendo mengi ya Uvunjifu wa amani ambayo yangeweza kusababisha vurugu uwanjani na kupelekea upotevu wa amani kabla hata ya tukio la SenegalMkuu nafikiri kilichofanyika kwa Senegal kutoa timu uwanjani kilikuwa kitendo cha match fixing, kuandermine timu pinzani kisaikolojia na kutafuta kuharibu kwa makusudi mchezo jambo ambalo likiachwa litaaharibu mpira wa miguu na mambo kadha.
Lastly siyo kwa ubaya ila uwasilishaji wako wa hoja umekuwa wa kuudhi na kuumiza hisia zangu.
๐๐Umejitahidi kusite mifano but mifano uliyotoa badala ya kuongeza uzito wa hoja yako ndo kwanza inaififisha hoja. Hivi unajua kuwa match fixing ni kosa kubwa sana kwenye any sport field si kwenye football tu. Kupanga matokeo unakula na kifungo kabisa, kupigwa life ban au timu kushushwa madaraja ya chini kama ilivyotokea kwa Juventus.
Lakini ishu ya Senegal ni tofauti kabisa waligomea mchezo kwa dkk kadhaa then gemu ikaendelea kwa refa kuendeleza mchezo na mshindi kupatikana kihalali kwa matokeo ya uwanjani(ambayo kimsingi hayabadilishwi na maamuzi mengine). Kama senegal wangegoma kabisa na refa akamaliza mpira sheria hii ingetumika.
Kifupi bodi ya rufaa ya Caf imepuyanga kama ilivyopuyanga Cuf ya Lipumba. Caf na Cuf sasa hivi zote ni Cuf