Nimefurahishwa na takwimu za Betting kuhusu Donald Trump, angalau akemee vitendo vya ajabu ajabu

Nimefurahishwa na takwimu za Betting kuhusu Donald Trump, angalau akemee vitendo vya ajabu ajabu

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
72456b5666a8c71d21f9e156081963b8.png

Ni mwanaume
Ni mwanaume mwenye msimamo
Najua ipo siku femest inaweza kutawala Ila itupe muda kidogo kwakeli ,
Maana femist ndo wachochezi wakubwa wa ndoa za jinsia moja wanaamini mwanamke anaweza kujitosheleza wenyewe

Anaiunga mkono Israel waziwazi Hadi kuhamisha balozi za us Jerusalem mji wa Mfalme mkuu

Anawachanaga wazi wazi maviongozi wa Afrika omba omba wakiacha rasilimali zao Kibao zikiibiwa kipuuzi
 
Nakubaliana na sera zake nyingi kama kupinga ushoga, utoaji mimba, kupinga ugaidi, kupinga uhamiaji haramu, kurejesha manufacturing base nchini Marekani na kuidhibiti Iran dhidi ya mpango wake wa nyuklia.

Lakini sikubaliani naye kabisa kuhusiana na namna anavyotaka kumaliza vita kati ya Russia na Ukraine ambapo Russia itanyakua maeneo ya Ukraine.
 
Iran itapata shida Sana kama trump atapita maana ameshasema kuwa Iran ndiyo walifanya jaribio la kumuuwa , tutegemee vita zaidi hapo mashariki ya Kati

Washauri wa kivita nchini Iran wameshauri serikali Yao kulipa kisasi kabla trump hajaingia madarakani.... Israel wanaomba usiku na mchana trump ashinde na Ukraine wanaomba Kamala ashinde
 
Back
Top Bottom