Nakubaliana na sera zake nyingi kama kupinga ushoga, utoaji mimba, kupinga ugaidi, kupinga uhamiaji haramu, kurejesha manufacturing base nchini Marekani na kuidhibiti Iran dhidi ya mpango wake wa nyuklia.
Lakini sikubaliani naye kabisa kuhusiana na namna anavyotaka kumaliza vita kati ya Russia na Ukraine ambapo Russia itanyakua maeneo ya Ukraine.