Tulinagwe venance
Member
- Apr 16, 2025
- 11
- 11
Angalau viongozi wa dini wameanza kuwa wakweli na wameanza kuwaheshim waumini wao hii kuonyesha kwamba angalau Kuna mabadiliko makubwa kwenye jamii yetu.
Naamini huu ni mwanzo tu huko mbele najua hii hali itakuwa kubwa sana.
Hili Taifa tuna haki ya kulisaidia na viongozi wa dini huu ni wajibu wenu.
Wao wanapotoa matamko kuhusu mambo mbalimbali wewe huwa unashiriki? Au kwenye kuifundisha kazi seriali na kuiamrisha ndiyo wote tunatakiwa tufuate?Wale wanywa chai za kule hawawezi kutoa matamko
mimi ni muumini/mwananchi mwenye akili mpenda haki hapa ndio hutoa maoni yangu yenye nguvu na husomwa na viongozi wengi wa kidini na kisiasa wakayafanyie kaziWao wanapotoa matamko kuhusu mambo mbalimbali wewe huwa unashiriki? Au kwenye kuifundisha kazi seriali na kuiamrisha ndiyo wote tunatakiwa tufuate?