Nimefuta hizi nyimbo za zamani kwa bahati mbaya. Naomba msaada wa namna ya kuzipata

Nimefuta hizi nyimbo za zamani kwa bahati mbaya. Naomba msaada wa namna ya kuzipata

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
149
Wakuu kwema? Hope muwazima wa Afya.

Wakuu nimetafuta hizi nyimbo bila mafanikio mwenye nazo plz naomba apandishe hapa plz,plz.

1. Nisamehe ya Jay Moe&Ngwea& Bamboo.

2. Ngwea Mida mibovu ft ferooz,Juma nature,Jay Moe.

Plz mwenye nazo naomba apakie hapa.
 
Back
Top Bottom