TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Sitaki tena namba ya mtu ambae hajui kusoma wala kuandika meseji ktk simu yangu na nimewaambia kabisa bila kumung'unya maneno na wala kupepesa macho, khaa!!, na kwa Uso wa Mbuzi, nikawaambia anaetaka namba yake niiweke kwenye simu yangu aende akasome MMKWA vinginevyo mujiandae kisaikolojia tu.
Hawa watu wanaboa sana, unajua simu kuna madhingira fulani yanaruhusu kupiga na mengine hayaruhusu, sasa yale ambayo hayaruhusu ni vema tutumiane SMS basi ili Issues ziendelee kwa muda uo, sasa unalikuta jitu umeisevu minamba yake yeye anachojua kupokea na kupiga tu basi, khaaa!!, muda mwingine unaweza kuwa na jambo nyeti tu na kwenye simu hakuna salio la kupiga lkn sms zipo, sasa likija suala la huyo jamaa ambae hana double K inakuwa tabu tupu.
Nimalizie kwa kusema nimezifuta namba zao, mi sipendagi ujinga.