Nimeghairi kuuza shamba langu ambalo mnunuzi ameshalipia nusu ya hela, Nifanyaje?

KIBINDU

Senior Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
175
Reaction score
355
Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!

Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!

Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
 
Ukipokea awamu ya kwanza hilo sio shamba lako tena we dai pesa yako ilio baki sio shamba utauzaji shamba lisio kua lako mkuu?
 
Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!
Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!
Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Dah sheria ngumu sana ,mlikubaliana vichochoroni au mbele ya uongozi ?Kama ni mbele ya uongozi kaujulishe Nia yako utafanikiwa Ila Kama ni kwa nyuma ya milango ,shika hela mpe mtoto ampelekee kesi itakuwa umeisha
 
Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Wewe unatakiwa kumlipa yeye ndio umrudishie Pesa pamoja na compensation zingine za usumbufu, yaan km uliuza kwa million 3 akakupa 2 wewe ukaamua kugairisha basi ku-balance uzani inabidi umpe compensation za usumbufu aidha umpe Laki 5 ya usumbufu iwe million 2 na Laki 5 au umpe million 1 ya usumbufu iwe million 3 kinyume na hapo subiri umaliziwe Pesa yako maana akienda mahakamani inakula kwako lazima umlipe Pesa za usumbufu TU
 
Dah sheria ngumu sana ,mlikubaliana vichochoroni au mbele ya uongozi ?Kama ni mbele ya uongozi kaujulishe Nia yako utafanikiwa Ila Kama ni kwa nyuma ya milango ,shika hela mpe mtoto ampelekee kesi itakuwa umeisha
Hapo bila Cha JUU hatoboi lazima aweke Cha JUU ndio atafikiriwa na sababu ziwe na Mashiko kwanini kagairisha kumuuzia
 
ACHENI UTAPELI NYIE HAPO KIBINDU MMEJAA MATAPELI WENGI WA ARDHI.MMEUZA MPAKA PORI LA SERIKALI
 
Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!

Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!

Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Hapo Wewe Ulieuza Shamba haki yako ni kudai balance iliyobaki tu! Kuliuza tena Shamba ni uvunjifu wa Sheria na unaweza ata fungwa. Sheria ata kama uijui Yenyewe itakushughulikia tu. Acha tamaa
 
Bora hata mda wa kumalizia malipo ungekuwa ushapita, lkn kama bado hapo mali ni yake.
 
Kuna Muhuni aliwahi fanyaga HIVYO alichofanya ni kuanza kupandisha bei ili anaetaka kukinunua ashindwe kununua
Mambo ya manunuzi Yana tabu sana ,Mimi nilitaka kuuza shamba langu ,nikampa dalali kazi Sasa shida ikaja story toka mtaani Bei ni kubwa kuliko niliyoitaja hivyo dalali anakula parefu sana ,roho ikauma na nafsi ikagoma nikaamua kusema siuzi maana shamba Kuna mtu ananidai atalichukua kufidia hela yake muda wowote .

Hapo ni baada ya wateja kuja Kama wote nikasema Bora tukose wote tu Ila sio jasho langu atajirike dalali
 
Ulipokubali kupokea sehemu ya pesa kama mauziano ndio ulikuwa umeshauza shamba hapo.

Tafadhali huna shamba ila una deni la hela yako kwa mnunuzi. Muombe akumalizie kwa wakati
 
Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!

Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!

Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Umeingia mkataba mwenyewe, unataka ugeuke.

Ni dhambi kwa Mungu hiyo
 
Back
Top Bottom