Ukipokea awamu ya kwanza hilo sio shamba lako tena we dai pesa yako ilio baki sio shamba utauzaji shamba lisio kua lako mkuu?Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!
Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!
Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Dah sheria ngumu sana ,mlikubaliana vichochoroni au mbele ya uongozi ?Kama ni mbele ya uongozi kaujulishe Nia yako utafanikiwa Ila Kama ni kwa nyuma ya milango ,shika hela mpe mtoto ampelekee kesi itakuwa umeishaIkiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!
Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!
Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Wewe unatakiwa kumlipa yeye ndio umrudishie Pesa pamoja na compensation zingine za usumbufu, yaan km uliuza kwa million 3 akakupa 2 wewe ukaamua kugairisha basi ku-balance uzani inabidi umpe compensation za usumbufu aidha umpe Laki 5 ya usumbufu iwe million 2 na Laki 5 au umpe million 1 ya usumbufu iwe million 3 kinyume na hapo subiri umaliziwe Pesa yako maana akienda mahakamani inakula kwako lazima umlipe Pesa za usumbufu TUJe, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Hapo bila Cha JUU hatoboi lazima aweke Cha JUU ndio atafikiriwa na sababu ziwe na Mashiko kwanini kagairisha kumuuziaDah sheria ngumu sana ,mlikubaliana vichochoroni au mbele ya uongozi ?Kama ni mbele ya uongozi kaujulishe Nia yako utafanikiwa Ila Kama ni kwa nyuma ya milango ,shika hela mpe mtoto ampelekee kesi itakuwa umeisha
Hapo Wewe Ulieuza Shamba haki yako ni kudai balance iliyobaki tu! Kuliuza tena Shamba ni uvunjifu wa Sheria na unaweza ata fungwa. Sheria ata kama uijui Yenyewe itakushughulikia tu. Acha tamaaIkiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!
Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!
Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?
Amekaa na watoto wake wamemuambia watamuua akiuzaHapo bila Cha JUU hatoboi lazima aweke Cha JUU ndio atafikiriwa na sababu ziwe na Mashiko kwanini kagairisha kumuuzia
Kuna Muhuni aliwahi fanyaga HIVYO alichofanya ni kuanza kupandisha bei ili anaetaka kukinunua ashindwe kununuaAmekaa na watoto wake wamemuambia watamuua akiuza
Mambo ya manunuzi Yana tabu sana ,Mimi nilitaka kuuza shamba langu ,nikampa dalali kazi Sasa shida ikaja story toka mtaani Bei ni kubwa kuliko niliyoitaja hivyo dalali anakula parefu sana ,roho ikauma na nafsi ikagoma nikaamua kusema siuzi maana shamba Kuna mtu ananidai atalichukua kufidia hela yake muda wowote .Kuna Muhuni aliwahi fanyaga HIVYO alichofanya ni kuanza kupandisha bei ili anaetaka kukinunua ashindwe kununua
Umeingia mkataba mwenyewe, unataka ugeuke.Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani!
Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye akagoma kuipokea na kusisitiza atamalizia pesa iliyobaki kwa muda wa makubaliano!
Je, mimi muuzaji nifanyeje kisheria?