Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Huyu ni binti ambae nilianza kuwasiliana nae kama mwezi hivi umepita na sikutaka mambo ya kuonekana nina uchu kwa kumtongoza haraka haraka mana tulikutana kwenye event flani ndo tukapeana namba za simu.
Kwa muda wote huo tulikua tunajuliana hali na chatting za hapa na pale mpaka tukaanza kuzoeana.
Baada ya muda flani niliona sasa ni wakati sahihi wa kutupa ndoano lakini kitu allichoniambia kilinifanya nirudishe moyo nyuma.
Huyu binti alinambia yeye hana tatizo kuingia kwenye mahusiano na mimi ila amefanyiwa tohara alipokua mdogo hajitambui, je nitakubali kuwa nae huku akiwa na hali hiyo ??
Kiukweli baada ya yeye kunambia hivyo nilikata tamaa mana sijawahi kuwa na mwanamke wa dizaini kama yake ambae ametolewa clitoris na kama mnavyojua ile organ ni muhimu sana katika masuala ya kujamiiana mana raha yote ya mwanamke iko pale
Kuna yoyote mwenye uzoefu au ambae kashawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke aliekeketwa ? Na je huwa wana changamoto gani wanawake wa aina hii ?