Nimegombana na Mshkaji sababu ya kunidhalilisha

Kulingana na hoja alilolitoa ana mapungufu gani ?,nijibu kulingana na hoja yake.

Hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye miaka 40 anaweza fuatwa na Mtoto wa 19 akaitwa shemeji, kama yupo ana mapungufu makubwa sana, na kama huyu muhusika naye ana miaka 40 ana upungufu fulani, sasa Huu upungufu wake uta Kuwa kwenye maeneo yote ambapo hupaswi andamana naye
 
Mimi nikikuita wewe 'fal.a' kwa sababu zangu nnazozijua mimi wewe unakua na mapungufu?
 
Ulifanya sahihi kwa maoni yangu, mtu uko 40+ unadate na vitoto 25-? Unakipeleka wapi kitoto kidogo hicho, mkikaa sehemu mtakuwa mnaongea nini, manake chenyewe bado kinataka kucheza. Au kiropoke hapo sijui aibu utaipeleka wapi.
 
Saitakuwajeee 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…