Nimegongwa na Nge

Usipochanja utaumia zaidi we pachane kiasi tu damu itoke then pakaa dawa ulizoambiwa....ama nyanya iliyoiva

We ni ke au me?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni mwanaume rijali/shababi ila haibadilishi kuwa maumivu ni makali,ila leo nasikia maumivu kwa mbaali..jana ilikuwa ni siku mbaya sana kwangu,asante kwa wote mlionicheka na mliotoa ushauri...kifupi naendelea vizuri,and am final back to normal...
 
Pole sana mkuu
 
Ningeenda kanisani nikaombewe ningeajua nimerogwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh huyu mdudu anagonga balaa kumbe bora sijaingia anga zake

nkumbuka way back nko singida na mshkaji alinizuia kutembea baada y kuona kitu ile kumulika naona bonge la nge jeusi na mkubwa kweli cpati pich aningemkanyagaga je
 
Wakuu nimegongwa na nge,wataalamu naomba mnisaidie tiba,natakiwa nifanyaje,maumivu ni makali sana na hadi saiv ishapita nusu saa bado sielewi natakiwa nifanyaje,msaada wenu tafadhali...
Haimi, mpaka una wassaa wa kuandika. Umepona
 
Badala ya kukimbilia hospitali, unakimbilia kufungua thread Jamiiforums, alafu mnalalamika maisha magumu...


Cc: mahondaw
 
Nimesikitishwa sana na uzi huu..
Nimewai kung'atwa na Nnge zaidi ya mara saba.Kifupi kuna vijimaumivu vya kawaida tu.Mwanaume yeyote unaweza vumilia.Sasa sion tija wa kufungulia uzi Labda kama uligongwa na nyoka no sawa...
WANAUME TUJIKAZE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kukimbilia hospitali, unakimbilia kufungua thread Jamiiforums, alafu mnalalamika maisha magumu...


Cc: mahondaw
Mkuu kama nilikuwa mbali na huduma za hospital je?
mbona unahukumu bila kujua mazingira yangu?
be fair,pia sio kila kila kitu lazima mtu uchangie...
 
Siku yako itafika,nahisi sieleweki na unahisi kuwa mimi legelege,ila kifupi yule nge alonigonga ilikuwa ni balaa,sijawahi ku`expirience maumivu makali kama yale,kikubwa nasisitiza kuwa siku yako itafika and then utanielewa ninachokimaanisha..
 
Pole sana mkuu
Asante aisee,hapa nimegundua kuna watu wanakejeli kumbe hata Nge huwa wanamuona tu kwenye picha au Tv,wanahisi sisi tunaongea upumbavu,jamani Nge akikugonga panauma sana,the pains is real,labda sijui kama kuna aina tofauti ya Nge na tofauti ya sumu,ila aliyenigonga mimi ni balaa,maumivu yake ni makali mno,tangu jana lakini hadi saiv bado nasikia pakiuma hata kama nina nafuu lkn bado pana maumivu ingawa ya leo ni ya kawaida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…