Nimegundua bia za Sinza ni tamu Sana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau hamjamboni,

Wiki ya 6 Sasa nipo Dar nikitokea Arusha.
Naomba bila kupoteza muda niende Moja kwa Moja kwenye mada yangu!

Nimegundua bia za Sinza ni tamu zaidi kuliko maeneo mengine ya Dar kama vile Mbagala, Temeke, Tandika, Buguruni, Tandale, Tabata, Mwananyamala, Kipawa, Manzese, Ubungo, Kigamboni, Kongowe n.k.

Sijui ni Kwanini lakini huo ndiyo ukweli.

Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…