Nimegundua faida mpya ya asali ndani ya mwili wa binadamu

Nimegundua faida mpya ya asali ndani ya mwili wa binadamu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA ASALI NDANI YA MWILI WA BINADAMU



Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na
haina madhara kwa binadamu.

Nimegunduwa ugunduzi wangu juu ya faida ya asali kwa binadamu nimeona bora na mimi niwape wenzangu faida katika uchunguzi wangu.

Nimegunduwa ikiwa utatumia asali kuinywa asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu kijiko kimoja na wakati wa usiku wa kwenda kulala ukila hiyo Asali tena kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 itakusaidia kukutibu na kusafisha ini na figo uchafu ulikuwepo ndani yake.

Kwa hiyo ninawapeni ushauri wangu muwe munatumia asali ya nyuki kila siku kwa huo muda mutafaidika na huo uchunguzi wangu asanteni.

Masharti ya Asali ni hivi iwe asali ya nyuki wakubwa tena iwe asali mbichi haijaipikwa wala kuchanganywa na kitu chochote kile. Fanyeni kazi utafiti wangu

Mje munipe Feedback asanteni sana.


attachment.php
attachment.php

 
Ah huo sio ugnduzi huko ni kusema yalio semwa na walio pita lete tafiti zako hapa tuoneshe majaribio nk
 
Ah huo sio ugnduzi huko ni kusema yalio semwa na walio pita lete tafiti zako hapa tuoneshe majaribio nk

Nakubaliana nawe. Ugunduzi na uenezi wa taarifa ni vitu viwili tofauti.
Ok Sijagunduwa nime kopi kwa mzungu mmoja anayeitw kwa jina hili MziziMkavu na ana blog yake hii hapa.NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA ASALI NDANI YA MWILI WA BINADAMU Huyo Mzungu Mzizimkavu ndio aliye nifundisha hiyo Faida ya kutumia asali. Wadanganyika hatuwezi kumu amini Mtu Mweusi mpaka tuambiwe na mzungu akili zetu zimelemaa kwa watu weupe kutokana hatuja cha kufanya chochote kazi yetu ni uchawi pombe, kucheza ngoma mchiriku na zinaa hakuna kingine zaidi ya hapo. Sisi Watu weusi Hatuna akili ya kugunduwa kitu eti mpaka agunduwe mtu mweupe acheni akili zenu finyu hizo. MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO.
 
Back
Top Bottom