Nimegundua haya

Vehicles kila siku zinaletwa toka mahospitalini zikiwa new,na spirits kila siku zinaacha vehicles zinarudi amnesia camp na kurudi kwenye circle again.
Tuongee kwa logic katika premise ambayo umeiweka wewe mwenyewe..... Kama kulikuwa na spirits 10 tangia year zero; basi vehicles zinazohitajika tangia mwanzo mpaka kesho ni hizo 10 kama vehicles zinaongezeka inamaanisha na spirits zinaongezeka na kama zinaongezeka basi haiwezekani zote zilizokuwepo jana ziwepo leo
Does not matter kama hio number tangia mwanzo sio infinity basi isingekuwa inaongezeka exponentially; Mimi ninapomba kuku mayai 10 na sio matano ili aatamie ni mimi ndio ninadetermine population ya kuku wangu bandani; na uzembe wangu wa kutokuwapa chakula na kutokuwapa chanjo ndio kuta-determine kesho takuwa na kuku wangapi, na sio kwamba kuna spirit anasubiri kifaranga changu kitotolewa ili achukue mwili
Like I said hata hadithi nzuri lazima iwe na logic (make sense) according to premise ulizojiwekea ila kama ina so many illogical flaws kama hii yako inakuwa haina maana (sababu hata kama hizo dimensions nyingine population inaongezeka exponentially where have all the vehicles been all these time ?) Au kuna pengine population ina-decrease exponentially ?
 
Once you die, mean you're lost away! but soul stay stranded at home place environment forever ever, that soul we call ghost!, or family ghost that always like to be remembered, and honoured!
Its true those spirits will strand but will never get out of this dimension because the earth is covered with this soul blockage mechanism technology created by high advanced spiritual beings which captures,wipes out your entire life moments keep them in subconscious and allows you to inhabit a new body again and again.unless you are awaken from this illusion
 
Wewe huwezi kuwa Nzee ya Msitu wa Shakhahola kweli🤓😎
 
Hizi imani potofu za kuaminisha watu hakuna MUNGU wala hakuna hukumu baada ya kifo zinazidi kupamba moto.
Aliyekwambia wanaoamini re-incarnation hawaamini Mungu wala hukumu ni nani ? Kwanza huenda Imani hii ikawa ni ya zamani zaidi kuliko hata Imani yako wewe...; Au unataka Imani yako ndio iwe imani yao ?
Acha niiishi vema kwa kutenda mema, kama nikienda huko nisimkute Mungu sitapata hasara, ili nikimkuta wakati nilimkana huku duniani hakika itakuwa hatari.
Hii inaitwa Pascal's wager; The wise decision is to wager that God exists, since "If you gain, you gain all; if you lose, you lose nothing",

Binafsi mimi nasema hii Thinking ina weaknesses mbili...

Moja; Kama ukikuta Mungu hayupo utakuwa umepoteza maisha ambayo ungeyaishi duniani kama ungedhani Mungu hayupo (Bila kujinyima)

Mbili: Kama Mungu yupo na maisha ya kule ni kama wanayoishi waumini huku ambao wewe hupatani nao na marafiki zako watakuwa wanachomwa moto hayo maisha ya milele yatakuwa sio ya furaha bali ni ya Uonevu kwa wadau ambao huenda huku walikuwa ndugu zako....
 
Hao advanced spiritual beings wanafanya yote hayo kwa sababu wanataka my achieve kitu gani? What is their motive? Tuanzie hapo mkuu
 
Kabla ya yesu miaka ya nyuma kulikuwa na osiris ,kulikuwa na krishna
Hawa wote walizaliwa na mabikra,walifufua wafu,walikuwa na wafuasi kuminambili,walikufa wakiwa 33 na walifufuka siku ya 3 na kupaa na walisema watarudi kuhusu yesu huyo ni character kwenye kitabu kinachoitwa biblia ambayo ni kalenda ya new world order,kitabu cha kukujaza uwoga na ufate system,kitabu ambacho kinakufanya usihoji na usitumie akili yako sasa akili ni ya nini,hiki kitabu na vingine baadhi ya vitu ni kweli kama matukio mf.catalysm,fall of darkages na greatfloods na future illuminati plans mf.maroboti and so so

Mengi kwenye biblia yamenukuliwa kwenye''sumerian texts ambazo zinajumbe zote za maelfu na maelfu ya miaka nyuma,hawa levites wamechomoa huko baadhi ya scriptures na kumjulisha na miongozo na elimu zao za kuwafumba wanadamu na kusambaza

Mwarabu-Quran
Mwindi-veda
Mwafrika-ndo mwanzilishi wa mambo yote ila sasa hajui historia yake wala asili yake kiundani,hajui hata imani na historia yake ya kweli kadanganywa na kavamia dini ambazo hazimhusu
 
Unaelewa maana ya imani potofu?
 
Earth was a biological lab for spirits of certain dimensions to test how was it like to be in human body thats one.

Two early humanbeings/spiritual came from other planet and invaded earth as a new habitat walikuwa wanauwezo wa mind kucommunication,kupotea/teleportation na walikuwa wakienda mwituni wanyama walikuwa loyal mmoja alikuwa anajitoa sadaka kwa mwanadamu na kutumika kama chakula na maisha yalikuwa simple as that ,wakaja extraterrestrials au viumbe vingine more advanced kuliko wao kiteknologia na kinguvu wakachukua zile ability zetu na kutuachia miungu yao ambao ilizaa na watu na kutengeneza wafalme na tawala ...

Tatu kuna dimensions zingine walitumia humans kama slaves kuwafanyisha kazi za uchimbaji and so na hao watu waliwaumba wenyewe ''tumemuumba mwanadamu kwa mfano wetu''wapo wengi

In general all lifeforms in different dimensions are all spiritualbeings of the same source known as the WHOLE/cosmic mirror na wanavyohama wanabadilika kutokana na mazingira ya hiyo dinension ,kama now tupo kwenye 3rd na wengine kwenye 4,5,6
 
Kuna facts hapo hapo kuna imani
 
Haujajibu swali langu la msingi unazidi kuleta hoja ambazo huenda zikaongeza maswali to infinity...; Swali langu la msingi ni kama Spirits have always existed na kinachofanyika ni kubadilisha tu vehicles (bodies) iweje hizo bodies zinaongezeka kuliko kabla sababu zingekuwa ni zile zile za kutosheleza spirits hakuna haja ya kuziongeza..., na kama watu wakikosa wanakuja kama wadudu basi makosa yamepungua sababu binadamu tunaongezeka...
 
Unaelewa maana ya imani potofu?
Wewe ukiamini unachoamini kuwa ukifa unazaliwa kwingine na kuwa hakuna MUNGU MKUU inatosha.

Habari za sijui unajua maana ya imani potofu hazihusiki hapa maana kila mtu anachoamini kwake mtu huyo ni sahihi na vile wanavyoamini wengine ni potofu.
 
Wewe ukiamini unachoamini kuwa ukifa unazaliwa kwingine na kuwa hakuna MUNGU MKUU inatosha.

Habari za sijui unajua maana ya imani potofu hazihusiki hapa maana kila mtu anachoamini kwake mtu huyo ni sahihi na vile wanavyoamini wengine ni potofu.
Kwahyo unataka kusema unachokiamini wewe ni sahihi hata kama ni cha uongo, na kile wanachoamini wengine ni potofu hata kama ni cha kweli?
 
Hebu fafanua vzr hiyo namba 7 na ulete ushahidi
 
Linapokuja suala la imani, hakuna imani iliyo bora zaidi ya ile aaminiyo mwamini.

Wote hapa tunazungumzia nadharia sio tangible materials, hivyo ukisema hiki kiko hivi kadri uaminivyo ni sahihi kwako na huyu akisema kiko vile kadri aaminivyo yuko sawa pia.

Kwa hiyo kila mtu abaki na aaminivyo lakini mbivu na mbichi za kila mmojawetu zitafahamika individually pindi tutakapokufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…