Nimegundua haya

Kwahyo unataka kusema unachokiamini wewe ni sahihi hata kama ni cha uongo, na kile wanachoamini wengine ni potofu hata kama ni cha kweli?
Kwanza hakuna imani isiyo na matokeo, kila mtu anachoamini huwa kinamletea matokeo chanya au hasi.

Sijasema nani yuko sahihi na nani hayuko sahihi, usahihi wa hiki utajulikana kwa kila mmoja wetu mwisho wa safari yake.

Hivyo kila mmoja kwa sasa yuko sahihi maana anachoamini kwake ni sahihi, ila aliye sahihi zaidi atajulikana huko mbeleni maana wote hatuna miaka 100 ya kuishi iliyobakia ya kuujua ukweli usio na konakona.
 
Mwisho wa siku yatajadiliwa mengi na yataandikwa mengi sana lakini hakuna aujuae ukweli,ni kupoteza muda tu.

Nani amekufa akajua mtu akifa anaenda wapi,kuna nini,na kinamtokea/kimemtokea nini huko?huku ni kujazana upepo tu kama kitu kidogo kama kurudisha uhai wangu nikikata moto wanasayansi wakiwa na maiti yangu wanashindwa ndiyo waje leo kusema roho/pumzi yangu imeenda wapi!!!
 
Hii no. 10 ndo sahihi zaidi. Hata mimi nishaifatilia sana.
 
Inshort there are trillions and trillions of spirits earth is just a playing ground,spirits do not depend on bodies they just live on them either ziwepo au zisiwepo it doent matter its a simulation or illusion anyways,na spirits nyingi zipo outside our realm japo hata inside pia zipo nyingi ila zipo captured kwenye hiyo amnesia belt

Teknologia inakuwa kwasababu kuna baadhi ya spirits zinaanza kukumbuka baadhi ya maarifa ya sayari zao ama teknologia zilizoporomoka
 
Wewe ukiamini unachoamini kuwa ukifa unazaliwa kwingine na kuwa hakuna MUNGU MKUU inatosha.

Habari za sijui unajua maana ya imani potofu hazihusiki hapa maana kila mtu anachoamini kwake mtu huyo ni sahihi na vile wanavyoamini wengine ni potofu.
Kuamini-kuwa na shaka

Je unajua au unaamini katika uwepo wa Mungu,na ile tuelewane useme Mungu ni nini au nani,ni uwepo,nguvu,kiumbe,roho,mwanga,giza ama nini
 
Mtu anakufa wewe unabaki
 
Wapo watu wanajua mkuu ,ila inabaki kama personal experience tu wala hawezi andika kwa sababu itakua kama mahubiri tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…