kwani kudinda ni uahini, weye unaninyanyasa sanaa sawaaa tuuuVijana wa namna hii ndiyo Lisu anawapambania, inasikitisha sana😂😂
Kabisa mkuuBora awaache waendelee kuchapwa na maisha 😀
Vipi umeenda kazini?kwani kudinda ni uahini, weye unaninyanyasa sanaa sawaaa tuuu
Nipo kazini hapa na nimelala kazini nyumbani narudi kesho Vipi umeenda kazini?
Wewe ni Chizi Maarifa uliyekuja na id nyingine.
Nyie ambao hamjatoka muwaze namna ya kutoka. Tuliotoka hatuna haja. Why unataka nikuwazie? Kila mtu ashinde matches zake.Watu wanawaza namna ya kutoka kimaisha wewe unawaza uchie shame to you!
Umeenda kanisani mkuu?
Pole sana mkuu, kimbilia kwa Yesu utapunguziwa mateso yote na utapata amani ya mileleNipo kazini hapa na nimelala kazini nyumbani narudi kesho
Nipunguzie kidogo mateso ya moyo jamani
usinifanyie hivyo basi jamanPole sana mkuu, kimbilia kwa Yesu utapata amani ya milele
Mimi nakuelekeza njia sahihi hutaki usinifanyie hivyo basi jaman
dah! sawa tuMimi nakuelekeza njia sahihi hutaki
.Yesu mwenyewe hakuonja hayo mambo na atarudi siku za mwisho naye aje kuonja na kuzaa.