Katika uchunguzi nilioufanya nimegundua kwamba maprodyuza wengi (karibia wote) wanavipaji vikubwa sana vya kuimba,
na endapo wataamua kuingia kwenye tasnia ya uimbaji basi hutoa Hitsong kali sana.
NITATOA MIFANO MICHACHE
Mr. blue Ft Man Walter- Nipende Kama Nilivyo.
-Jay moe Ft P Funk- Famous
-Fid Q ft P funk - Danger
- Mswaki - Open letter(RIP Ngwair)
-Nah Reel( zote)
-Baghdad Ft Isam- Foleni
Roma ft Geof Master- Ivan
N.K
Hiyo ni baadhi ya mifano hai iliyonifanya niamini kwamba Maprodyuza wengi wana Vipaji na hao wachache wamevidhihirisha kwa bahati mbaya bila ya wao kuamua.
ha ha ha! kula ile kitu toto inakula huenda njaa itaishaAlafu sijui kwanini, tangu huu uvumi wa njaa uingie nimekuwa nikiumwa na njaa ovyo ovyo hata nikila kutwa mara nne, yani haipiti nusu saa njaa inauma upya, alafu ile njaa takatifu kabisa,
Madee ft P.funk- Haya yote maishaKatika uchunguzi nilioufanya nimegundua kwamba maprodyuza wengi (karibia wote) wanavipaji vikubwa sana vya kuimba,
na endapo wataamua kuingia kwenye tasnia ya uimbaji basi hutoa Hitsong kali sana.
NITATOA MIFANO MICHACHE
Mr. blue Ft Man Walter- Nipende Kama Nilivyo.
-Jay moe Ft P Funk- Famous
-Fid Q ft P funk - Danger
- Mswaki - Open letter(RIP Ngwair)
-Nah Reel( zote)
-Baghdad Ft Isam- Foleni
Roma ft Geof Master- Ivan
N.K
Hiyo ni baadhi ya mifano hai iliyonifanya niamini kwamba Maprodyuza wengi wana Vipaji na hao wachache wamevidhihirisha kwa bahati mbaya bila ya wao kuamua.
Umemsahau Bizman. Kuna wimbo wake katengeneza na Marco Chali siukumbuki jina, miondoko kama ya reggae.Hilo halifichiki, na huwa wakitoa wimbo unakuwa ni Wimbo wa taifa